MIUJIZA SABA AMBAYO HAIJAWAHI TOKEA SEHEMU YEYOTE DUNIANI - TopicsExpress



          

MIUJIZA SABA AMBAYO HAIJAWAHI TOKEA SEHEMU YEYOTE DUNIANI ISIPOKUWA TANZANIA 1.Mtuhumiwa anaruhusiwa kumchunguza Anayemtuhumu. 2.Nchi Ambayo vifaa vya Ulinzi na Ukaguzi kwenye Viwanja Vya Ndege Vinaona Na Kupiga Alarm Tu Pale Msafiri anayepita Akiwa amevaa Mkanda na Bangili za Chuma lakini Vifaa ivyo havioni Heroin na Wanyama Wakivushwa 3.Nchi Ambayo Serikali yake inafungua Kesi kwenye Mahakama lakini Asilimi 90 ya Kesi izo Serikali hushindwa. 4.Nchi ambayo Unaruhusiwa kuwadanganya Wananchi wake kwa Ahadi Hewa na Bado Wakakuchagua kuwa Kiongozi 5.Nchi ambayo Inaruhusiwa Wubunge Wake Kutukana wakiwa Bungeni na Bado wakapongezwa na Vyama Vyao Vya Siasa kwa Ushujaa Huo 6.Nchi ambayo viongozi wake wa Soka Hawajui Sheria za Soka kwa Asilimia 60.Kama unabisha wauliza Simba 7...Hii nisaidie Kuongeza..... .....Nimepatwa Nazarura.......Nikirudi Nitaaa.....
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 13:40:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015