MUDA ULIO POTEA NDIO UMEPOTEA NA KAMWE HAUWEZI UKALUDI, Kwaiyo - TopicsExpress



          

MUDA ULIO POTEA NDIO UMEPOTEA NA KAMWE HAUWEZI UKALUDI, Kwaiyo vijana tutumie vyema kabisa MUDA wetu ili INSHA-ALLAH tujenge maisha yetu ili yatusadie sisi wenyewe,wazazi wetu na insha-allah nafamilia zetu pia Baadae kwani maisha yanajengwa ukiwa kijana nawala sio mzee kama nimwanafunzi basi soma kwabidii mno nakama unafanya kazi fanyakazi kwabidii nakua namatumizi mazuli yafedha yenye manufaa makubwa, WAKATI NI KAMA UPANGA USIPO UTUMIIA VIZULI BASI UTAKUJA KUKUKATA WEWE MWENYEWE
Posted on: Sun, 15 Sep 2013 07:56:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015