MWIZI HAIBA MTOTO. ALIPOFIKA NYUMBANI KWAKE AKAMPIGIA BABAKE MTOTO - TopicsExpress



          

MWIZI HAIBA MTOTO. ALIPOFIKA NYUMBANI KWAKE AKAMPIGIA BABAKE MTOTO SIMU. . Mwizi: hello boss, wewe ndiye babake otis. Baba: ndio mimi, wewe ni nani na nikusaidie je? Mwizi: babake mimi nimekuibia mwanao Otis, sasa nataka elfu kumi ndio nikurudishie mwanao...nmekupa hadi miezi miwili. Baba: sasa ndunguyangu uyo mwanangu anakula? Mwizi: ndio. Baba: analala pazuri: Mwizi: ndio Baba: basi kuja na uchukue na hawa wengine pia. Mwizi:*?!@¥#¿. . . Admin Elvyc Afonso
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 16:27:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015