Majumbani mwetu: Mke anamuita HOUSE GIRL wake baada ya kutafuta - TopicsExpress



          

Majumbani mwetu: Mke anamuita HOUSE GIRL wake baada ya kutafuta na asikione alichokuwa anakitafuta: Mke: Nimezitafuta CHUPI zangu 3 sijaziona, ziko wapi?. House girl: Mimi wala sijui ziliko mama. Mke: Wewe mtoto usiniletee balaa nakwambia. Humu ndani tunaishi watu 3; mimi, wewe na mume wangu. Sasa nani atakuwa kazichukua kama siyo wewe?. House girl: Haki ya Mungu mama, mimi wala sijachukua chupi zako. Kwanza hata chupi zenyewe mimi huwa sivai na kama unabisha muulize hata baba kama mi navaa chupi. Unajua kilichoendelea? Fanya subra ntakuambia!. Tuwe na wakati mwema WAUNGWANA--->>>TRM 85II
Posted on: Mon, 16 Sep 2013 14:45:54 +0000

Trending Topics



yle="min-height:30px;">
Can anybody hear me? Or am I talking to myself? My mind is
NOT IN NOAM: 11/22/COUP> THE VIETNAM WAR On May 10, John Newman
b>
“— Alô? É da polícia? — Sim. Qual a emergência? —

Recently Viewed Topics




© 2015