Mke wa ndoa wa mfanyabiashara wa madini Arusha, Jackson Manjuru, - TopicsExpress



          

Mke wa ndoa wa mfanyabiashara wa madini Arusha, Jackson Manjuru, amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kuua mumewe. Akizungumza juzi, Manjuru anayeishi Moshono jijini hapa, alikiri mkewe Janet Simon, kushikiliwa Polisi kwa tuhuma hizo, huku akisisitiza haamini kama ni kweli. “Siamini kama mke wangu wa ndoa, tena ya Kikristo, anaweza kufikiria kunitoa roho eti kwa sababu ya mali… wakati nimempa kila anachohitaji duniani.
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 04:17:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015