Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwani kuna uhusiano gani - TopicsExpress



          

Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwani kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? Kuna kuelewana gani kati ya mcha Mungu na shetani? Anayeamini ana uhusiano gani na asiyeamini? Kuna uelewano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa kuwa sisi ni hekalu la Mungu aliye hai. Kama Mungu alivyosema, ``Nitaishi ndani yao na kutembea kati yao, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hivyo, tokeni kati yao, mkajitenge nao, asema Bwana. Msiguse cho chote kisicho safi; ndipo nitawakaribisha kwangu. Nami nitakuwa baba kwenu, nanyi mtakuwa vijana wangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi Mungu.' cku njema huku mkitafakali maneno ya Mungu japo kwa leo tu!!! Acha tabia mbaya. Najua hata ukisema umewacha. . Kama ulikuwa mzoefu wa tabia chaf . . Hutabadili. Twakuachia mungu tu!
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 07:33:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015