NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU CHALI AFTER MIAKA MINGI… YEYE : Hey, - TopicsExpress



          

NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU CHALI AFTER MIAKA MINGI… YEYE : Hey, Unajua nilioa! MIMI : Maze si hiyo ni poa! YEYE : Hapana. Bibi ni sura mbaya kama kifua ya kunguni! MIMI : Oh! Maze hiyo ni mbaya! YEYE : Zii,, Hiyo ni poa coz ako na pesa mingi sana MIMI : Then maze hiyo ni poa sana! YEYE : Maze imagine na haezi nipea hata one bob... MIMi : Maze hiyo basi ni mbaya YEYE : Zii, hiyo ni poa sana! Alininunulia hii gari na nyumba kubwa poa Runda Estate! MIMI : Basi hiyo ni poa mtu wangu YEYE : Zii, si poa coz, maze hauskii nyumba ilichomeka bana! MIMi : Basi mtu wangu hiyo ni mbaya YEYE : Zii, Hiyo ni poa! Alikuwa ndani ya nyumba…!
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 17:38:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015