Naitwa Abdallah Maarufu kama Dullah Ni dereva boda boda maarufu - TopicsExpress



          

Naitwa Abdallah Maarufu kama Dullah Ni dereva boda boda maarufu hapa Sayansi, ni mkazi wa Mwananyamala Mzaliwa wa Iringa umri Wang Ni Miaka 26..Katika Maisha yngu ya mahusiano jumla ya Wanawake ambao tayari nishatembea Nao Ni wanawake 11,, Ktk Wote hawaa ambao nimetembea Nao Ni mwanamke Mmoja tu Ambaye Nilimpenda saana, nilikuwa sijawahi kupenda ila kwa Msichana Nasra Nilitokea Kumpenda saana Ila Nilianza kuingia na wasi wasi na Msichana huyu baada ya washikaji zangu kuniambia demu ni kicheche ila nilikuwa sisikii chochote kuhusu Nasra Kila ninapokutana nae Faragha hunipa penzi ambalo huwa sipat kwa msichana yoyote yulee,, Kadri siku zilivyoenda ndivyo Mapenzi yetu yalipokua Matamu zaidi, kuna Siku moja Nasra nilimsindikiza hadi kwao na bajaji yng km kawaida yngu ninapofanyaga,, Ila siku hiyo kuna mshkaji ni Muuza chips karibu na kitaa cha kina nasra aliniita, Baada kusalimiana naye Jamaa alinihoji kuhusu yule demu ambaye ni Nasra,,nikamwambia kua ni Demu wangu Pale pale akaanza kuniambia story kuhusu yule demu daah Sitaisahau hiyo siku Nilihisi mwili kuishia Nguvu kbsaa Baada kuambiwa kua Nasra anatembea na Pedeshee ambaye inasemekana ana UKIMWI, na huwa mara nying anakuja kumchukua Na Gari na kwenda nae sehem za starehe, Basi toka siku hiyo nikaanza kumchunguza Nasra Nikaja kugundua kua ni kwel anatembea na Pedeshee,, Hpo ndipo bahadhi ya Marafik zangu wakanishauri nikapime kwa kua Nasra kwa jins nilivyokapenda Condom Sikuwa naitumia kila nikipokutana nae kwa kumpenda na kumuamini, Siku moja nilipoenda kupima na nilipogundulika Nina UKIMWI hadi sasa sitamani tena MAPENZI, Kupenda kumenisababishia hadi nipate Gonjwa hilii....Nawashauri Rafik zangu kua Makini na Wapenzi wenu...! NI MIMI DULLAH DEREVA BODA BODA.
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 10:48:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015