Naitwa Tammy nina umri wa miaka 24.ktk maisha yangu nilikuwa na - TopicsExpress



          

Naitwa Tammy nina umri wa miaka 24.ktk maisha yangu nilikuwa na mwanaume niliempenda sana na nilimwamin kupita kiasi, kiujumla yeye ni mpole sana hata kama ukiambiwa kitu huwez kukubali unaweza kusema unamsingizia.baada ya mda nikaja kutambua kwamba ananichit na ana wanawake zaid ya 1 kuna siku nikambana akanieleza ukwel kwamba ni kwel hao wanawake nililala nao na wengine nilikuwa naenda makwao kabisa.kiukwel kile kitendo kiliniumiza japo nilimwambia nimekusamehe .ila baada ya mda ile hali ikajitokeza tena me nikawa ni mtu wa kuteseka na kulia kila kukicha .siku moja nikamweleza kwamba siku nikigeuka sitorud tena nyuma ntasonga mbele sasa ktk hal hiyo akatokea kaka mmoja nikaingia nae ktk uhusiano na nimejikuta nimefall sana in luv ,kwanh huyu kaka ananipa kila kinachostahil ktk mapenz .cha kushangaza ni kwamba yule kaka wa mwanzo kaenda kwetu mim nilisafir katoa barua na wazaz wangu walisha mpangia mpaka mahar je nifanyaje? Na mateso nayaogopa?
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 10:05:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015