Naombeni ushaur wenu.Mm n msichana wa miaka20 nnasoma nje ya nchi - TopicsExpress



          

Naombeni ushaur wenu.Mm n msichana wa miaka20 nnasoma nje ya nchi nna mpenz wangu tuna miaka miwili sasa tuko pamoja.Ananihud umia kwa mahtaj yangu na baadh ya v2 chuon.Kwa bahat mbaya nimetokea kumpenda kijana mwingine kwenye facebook.Nataman kuachana na mpenz.wangu ila naona huruna koz ananihudimia na amensaidia meng.Nataman kuwa na huyo kijana ila naogopa akiwa na tabia za ajabu au akinisaliti. Kijana nampenda na mpenz wangu namuonea huruma, naomba ushaur nifanyaje?
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 10:08:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015