Ndugu wadau wa habarimpya someni mazungumzo ya wadau wa habarimpya - TopicsExpress



          

Ndugu wadau wa habarimpya someni mazungumzo ya wadau wa habarimpya juu ya skata la Rwanda na Tanzania, wamenitumia inbox yangu nami nikaona ni bora wote tuijadili kwa pamoja ama mnasemaje? Jackson: hello Guest-9bt: hi Jackson: fine and u? Guest-9bt: kikwete atazabwa very soon! Jackson: nani tena wangu Jackson: je kafanya nini Presidar tz Guest-9bt: kikwete atachapwa very soon Guest-9bt: anacheza na kagame Jackson: nani tena je wewe ni nani sioni jina lako Jackson: ok kumbue na Kagame Jackson: hahaha, ataweza? Guest-9bt: aah mi naitwa rwegoshora Guest-9bt: aaah kikwete kichaa bana... Jackson: jisajiri basi hapa habarimpya ili tuwe tunakutana na kujadili msuala mbalimbali Jackson: Kikwete na Kagame wote wahuni tu Guest-9bt: aaa ndo manake ... Guest-9bt: ila jamaa aisee wamejiandaa kbsa ...ni vita very soon! Jackson: acha utani bana kwani uko wapi mpaka useme hivyo? Guest-9bt: mimi niko kgali Guest-9bt: na jamaa hapa noma aisee Jackson: je we mtz ama mnyarwanda Jackson: kwani unafikiri kwamba watapigana Guest-9bt: mi half rwandan .. half TZ dingi muhaya mothr myarwanda! Jackson: ok kwa hiyo we ni mtz Jackson: je kwanini unafikiri kwamba watachapana? Guest-9bt: aisee kagame kakasilika sana na kawaida yake lazima apigane... alifanya hivyo na majeshi ya uganda huko Kisangani DRC Jackson: Kagame anatumwa hana lolote unafikiri Tz inaweza kuchapwa? Guest-9bt: hata kikwete vlevle naskia kala pesa ya wafarannsa na do maana katuma majeshi DRC... Guest-9bt: TZ ISIPOKUA MAKINI ITAKULA KIBANO! jamaa wanakuwaga na mashambulizi ya kushtukiza! Jackson: kumbe je habari hizi ni za kweli ama ni maneno ya watu tu huko rwanda? Guest-9bt: aisee ni ya kweli kbsaa! Jackson: kwani tz hatusikii wakizunguza habari hizo ama wanyarandwa wana hamu ya kuruga amani ya watanzania? Guest-9bt: watawatumia chadema Guest-9bt: ndo M23 mpya to be deployed in Tz... itakuwa balaa Jackson: hakuna kitu kama hicho wewe
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 10:27:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015