Ni jambo la kawaida sana kwa wanaume kumpa pesa mwanamke baada ya - TopicsExpress



          

Ni jambo la kawaida sana kwa wanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kumaliza kufanya mapenzi yani hata.kama ni mtu ambaye mko kwenye mahusiano kwa mda mrefu.na galz wamekuwa wakipokea pesha hizi kwa mikono miwili tena wanarudisha mabusu moto moto.lakini sijawahi kusikia gal kumpa boy hela baada ya kumaliza kufanya mapenzi,,,,,,je hii inamaanisha kwamba wanaume mnauziwa ile huduma au ndo mnajitutumu muonekane mnajua kujali?kwa nini gals mda mwingine nyie msiwape wanaume au muwe mnakataa kuzipokea hizo fedha?
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 13:48:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015