Ni kitu gani ulkua wapenda kufanya ulpokua shulee? 1 Late - TopicsExpress



          

Ni kitu gani ulkua wapenda kufanya ulpokua shulee? 1 Late Comer. 2 Kukatia madem wasupuu. 3 Kuvunjana. 4 Kurebounce time ya dish. 5 Entertainment ya weekend. 6 Kudodge classes. 7 Kusinzia class time/preps. 8 KuNoise make. 9 Kuadmire walimu wasupuu. 10 *Ongezea zako* Me nliwa nawania walimu wasupuu wenye wako attachment.Nliwa nahakikisha akuna mmoja ametoka bila namba zangu na nikule mavituz. Alafu kupigana ndo zangu lakini nliwa sionani....mawe tu(kama mluo)!!! #SaFaRa
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 14:17:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015