Nimekua nikipokea #ibox nying sana za kina dada tena akina dada - TopicsExpress



          

Nimekua nikipokea #ibox nying sana za kina dada tena akina dada wenyewe sio wa hapa #Tanzania wanakua wana ji introduce ving sana mwisho wa siku wakawa wananiomba #Email_adress baadh nilikua nawapa lkn walichokua wakikiandika kwenye email yangu nyi achen2 et utawasikia *baba yangu alikua rubani alikufa kwa kupigwa risas alipokufa kaniachia hela nyingi sana sina cha kuzifanyia tafadhari nipe namba zako za acaunt ya benk nikutumiae na ww! Jaman iv kunam2 gan mwema kiac hicho aku2mie hela bila kufanya kazi ! Jaman hao ni wez usithubutu kumgea acaunt number yako iv nyinyi hayajawah kuwakuta kama haya ? *Google acaunt* #ABDALAH nyamahala *TWitter* #@dullanyamahala *EMAIL* #abdalahnyamahala@gmail
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 17:45:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015