POLENI WAKENYA LAKINI ANGALENI YANAYOWATOKEA WENZENU SOMALIA. Upo - TopicsExpress



          

POLENI WAKENYA LAKINI ANGALENI YANAYOWATOKEA WENZENU SOMALIA. Upo ndani ya nchi yako mmepigana vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu ndugu zako wanaishi kama wakimbizi na wengine wamepoteza maisha kwenye vita umebaki na mtoto na mke wako mara mnapata suluhisho na kuanzi umoja wa kitaifa unaoanza kuleta amani na mafanikio makubwa na baadhi ya ndugu zako wanarudi kwa ajili ya kuijenga nchi.Jirani yako aliyekua akikuuzia silaha na kufaidi kutokana na nyie kupigana anatuma kikosi cha kuiondoa ile serikali mlioiweka madarakani kwa ridhaa yenu.Wanawaua maelfu kwa maelfu,wanawabaka watoto na mke wako,wanapora mali na kuharibu zingine nyingi. Mnamo mwishoni mwa mwaka 2006 Kenya kwa ushirikiano wao na Ethiopia wameweza kuondoa utawala wa wenye ridhaa ya umma wa Mahakama za kiislam nchini Somalia utawala ambao uliwarejesha makundi kwa makundi wasomali kwao kwa ajili ya kuijenga nchi,kwa kua amani ya somalia haikua na maslahi na nchi za magaharibi na majirani wasiotakai mema Somalia waliivamia na kuondoa serikali iliyowekwa madarakani na wananchi na kusambaratika na kuundwa kwa makundi mengine kama Al Shababu.Majeshi haya ya kenya na Ethiopia yamekua yakiua raia wasio na hatia kubaka na kuiba mali za wasomali kila kukicha na vyombo vya habari ambavyo vina msingi wa kuangalia maslahi ya magaharibi na kandamizi dhidi ya uislaam vimekua kimya na kuwa ngazi ya propaganda ya ugaidi.Kweli huu ni ugaidi au ni aina ya ujasiri?Kama wewe ni mwanaume anakuja mtu anaua mama,baba,anambaka mtotowako,na mke wako mbele yako..ukitoka hapo huyo mtu utamfanyaje?TIZAMA MAMBO KWA UADILIFU NA UWE MKWELI.
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 10:22:28 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015