POLENI WANAUME WA KENYA NA HONGERENI WANAWAKE WA KENYA NA - TopicsExpress



          

POLENI WANAUME WA KENYA NA HONGERENI WANAWAKE WA KENYA NA WATOTO. SHERIA INAPITISHWA 1. UKITAKA KUOA Ujisalimishe kama wewe ni wa ndoa ya wanawake wengi. 2. Nyumba ndogo ziwe na cheti ya ndoa 3. Ukitelekeza mji miaka 5 jela au faini laki3 za kenya 4. Ukiahidi uchumba usibadili mawazo utalipa faini kali. 5.ukioa msichana chini ya umri wa miaka 18 jela miaka 5 au faini ya mil 1 kenya shillingi. Jamaa wanatweet wakisema hakuna kutongoza umelewa coz utakachokiongea kitatumiwa kama ushahidi mahakamani. BRAVO KENYA KWA MTINDO HUU WATOTO WA MITAANI HAKUNA TENA KENYA.
Posted on: Fri, 19 Jul 2013 06:18:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015