Political inquisitive thoughts: Nimeona vyombo vya habari - TopicsExpress



          

Political inquisitive thoughts: Nimeona vyombo vya habari vinatangaza kuwepo kwa special delegation kutoka US kwenda DRC kwenye eneo la mapigano against M-23, halafu vinaelekea Rwanda kwa mazungumzo na Kagame kuhusu tuhuma za kuwasaidia waasi. Halafu nimegundua kuna collaboration ya nchi mbili tu za Africa....Tanzania na S.Africa+ US. Najiuliza....Why did only Tanzania and South Africa -the countries recently most visited by US-decide to join forces to fight M23 in Congo DRC? Why not Kenya, Uganda, Malawi, etc? Mmmh...and how is America affected by the conflict between DRC and M-23? What is going on ndugu zangu?...
Posted on: Mon, 26 Aug 2013 17:48:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015