“Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole, lakini ni kiongozi dhaifu; - TopicsExpress



          

“Rais Mwinyi ni mtu mwema na mpole, lakini ni kiongozi dhaifu; na upole wake unatumiwa na watu ambao wala si wema wala wapole kuhatarisha umoja na amani ya nchi yetu.” Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa: Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (pg. 50); “Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM.” , John John Mnyika, Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) MADE IN TANZANIA!
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 07:07:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015