SIKU ZOTE HUWA NAWADHARAU POLISI WA TANZANIA KUTOKANA NA UELEWA - TopicsExpress



          

SIKU ZOTE HUWA NAWADHARAU POLISI WA TANZANIA KUTOKANA NA UELEWA MDOGO NA ELIMU ZAO NDOGO,NINAWADHARAU KWELIKWELI!HIVI LEO WANATOA KAULI KUSHUGHULIKIA CHAMA CHOCHOTE KITAKACHOTENGENEZA KIKUNDI CHA KUJIHAMI,NILITEGEMEA WANGEANZA KUKICHUKULIA CHAMA CHA MAPINDUZI HATUA KWA GREEN GUARD NA KUTNGENEZA JESHI LA MGAMBO KWA ALIYEUDHURIA MIAKA 35 YA CCM CCM KIRUMBA KULE MWANZA ATAKUMBUKA,BADALA YA KUSUBIRI CHADEMA KUTAMKA WATAFANYA WALICHOKIONA CCM WAMEKIFANYA!!! !!!! POLISI HAMNA UBAVU WA KUWASHUGHULIKIA WAHALIFU WA CCM,HUO UBAVU NINA HAKIKA HAMNA!YOU ARE TOOTHLESS DOG!(MBWA KOKO)
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 22:41:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015