SIRI CHACHE ZA NDOA ! NAMNA MKE/MUME ANAVYOTAKIWA KUKUFANYA - TopicsExpress



          

SIRI CHACHE ZA NDOA ! NAMNA MKE/MUME ANAVYOTAKIWA KUKUFANYA UMTAMANI. 1. Epuka kumfokea kama mtoto na kumtukana kwa maneno makali. 2. Jua kucheka naye mara kwa mara na mfanye awe rafiki pia, Siyo mpaka pale unapomtaka chumbani, 3. Jua nguo za kuvaa nyumbani ili kumgusa na kuvutia hisia zake, Zile kaptula za kaki (eti unaziita chupi) kazitupe zoote maana hazivutii kabisaaaa na zingine zimetoboka, lastiki imechoka na sasa chupi imetanuka kweli halafu inakua inaingia kwenye mpwinto - aiseeee jamani wapendwa du ! 4. Oga kila ukifika nyumbani maana Kikwapa chako ni hatari sana mpaka mbu na inzi wamefungua kesi ya malalamiko, 5. Soksi jamani jamani ! Eeeeeeeh aiseeee 6. Harufu ya mdomo jamani makamanda wa Yesu - eeeehh yaani wife anaogopa kukwambia lakini aiseee ni hatari sana. Kwenye maombi unasema haleluyaaaaah mwenzako anaitikia Mmmmmh kumbe harufu ya mdomo inataka kumfanya azimie. Safisha mdomo kwa kusugua ulimi na dawa nzuri ya meno.
Posted on: Tue, 22 Oct 2013 08:59:58 +0000

Trending Topics



0px; min-height:30px;"> Here I am, fighting my way through another Depeche Mode cover.
Gravitáció Eredeti cím: Gravity, bár csodálkozom, hogy itt
Here goes - Ive never been an avid reader, but yes some books do
Cyberjaya Apartment for Rent!! DPulze: 1 bedroom apartment: RM

© 2015