SISI NI WALE WABAYA. EBU CHEKI DIFFERENCE YETU NA NYINYI 1.sisi - TopicsExpress



          

SISI NI WALE WABAYA. EBU CHEKI DIFFERENCE YETU NA NYINYI 1.sisi tuliona strike ya adeya,wewe unaona ya sosion. 2.sisi tulikunywa U.H.T,wewe unakunywa molo milk. 3.sisi tulikunywa tree-top, wewe unakunywa afya. 4.sisi tulidance kwasa kwasa,wewe unadance bendover 5.sisi tulipikiwa na arya,wewe unapikiwa na royco. 6.sisi tulipewa maziwa ya nyayo,wewe unataka lap top 7.sisi tuliwatch day time movie,wewe unawatch box office. 8.sisi tuliplay tape,wewe unaplay mem card 9.sisi tulistore photos kwa ulbum,wewe unastore photos kwa fb. 10.lakini wewe unakatia, sisi tulikatiwa. 11.wewe ukona ipad, ipod,ps3,nintendo, xbox,blackberry... Sisi tulipokua wadogo tulikua na kitu moja tu, cha kuchezea... . . Ilikua inaitwa 'Outside'
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 16:03:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015