SKILIZA YALONIKUTA! Nimeagiza kiepe yai...njaa inauma halafu - TopicsExpress



          

SKILIZA YALONIKUTA! Nimeagiza kiepe yai...njaa inauma halafu wanancheleweshea bac ikabidi nianze kula ToOTHPICK mojamoja mpaka nimemaliza kakopo kazima....bado wanachelewesha halafu naona cHuPA YA TOmaTO MBEle yangu nikaanza kuinywa mdogomdogo mpaka sasa chupA Yote nimemaliza...dah!bado bado tu hapaja leta mara nakapimia kakopo ka chumvi kalee nkakasogeza karibu taratibu nkaanza kulamba mara nashangaa eti na kenyewe kanaisha....sasa hv eti ndo wananiletea ìyo chips yao halafu wananiuliza eti ToothPIck tomato pamoja na chumvi vikowapi?..nkawauliza kwani mimi muhudum!?..kumbe pembeni kunamteja alikua ananipia mwanzo mwisho c ndo akalopokwa!....sasa wamenipa adhabu km vp njoo unisaidie.,wamesema aidha nile Chips alafu nigonge na cHUPA nZIMa ya cHILISos/pilipila nikishindwa ntoe elf kumi...sasa rafiki yangu naomba unisaidie mimi ntajikaza yaani ntajilazimisha kula ìyo ChIPsyaI halafu Wewe naomba unisaidie kunywa híi pilipili tu alafu unaenda kwenu sw!
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 18:26:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015