STORY VUPI ZA COX --Nimepanda daladala naenda posta nimekaa siti - TopicsExpress



          

STORY VUPI ZA COX --Nimepanda daladala naenda posta nimekaa siti ya nyuma na mdada mmoja mrefu mweupe amejaliwa shepu nzuri hadi basi Nikamsalimia akaitikia vizuri tu bila hata kuniletea mapozi nikawa najifikiria nianze vipi kumpanga ili anipe hata namba yake lkn nikaona na yeye ananitolea macho vibaya mno akaniuliza "kaka wewe ni mwenyeji wa wapi?? Nikamjibu "mimi ni mwenyeji wa Arusha hapa dar nimekuja kutafuta maisha tu" akaniambia "okey basi nimekufananisha yani umefanana sana na kaka mmoja hivi nimesoma naye chuo Dodoma" nikamwambia "kawaida tu mrembo si unajua duniani wawili wawili" nikamuuliza "kwani we mrembo unaitwa nani na ni mwenyeji wa wapi?? Akaniambia "mimi naitwa Rachel ni mwenyeji wa Dodoma nimekuja dar kumtembelea Aunty yangu hivi naenda zangu posta kutembea tembea na mm nishangae magorofa" nikamwambia "sawa mrembo unaonaje kwa leo nikiwa mwenyeji wako nikutembeze nikuonyeshe maeneo mbali mbali mazuri ya jiji" akaniambia "haina shida kaka tena utakuwa umefanya vizuri sana" nimefurahi sana kukubaliwa na yule mrembo mm kumtembeza nikasema lazima nikomae naye akubali kuwa mpenzi wangu Tumeshuka posta nimempeleka kule feri nimemtmbeza sehemu nzuri nzuri zote amefurahi sana nikamwambia "saivi twende kinondoni mrembo kule ndo kuna sehemu kibao za starehe tukakae hata sehemu tupate vinywaji" akanijibu "haina shida cox mm nakusikiliza wewe mwenyeji wangu" tumechukua bajaji hadi kinondoni nimemuonyesha sehemu mbali mbali maarufu kwa bata hapa mjini tukaingia uhuru peak tukaagiza nyama choma nikamuuliza "vipi mrembo huwa unakunywa pombe?? Akaniambia "ndiyo natumia cox ila sio sana" nikamuita muhudumu tukaagiza bia tukawa tunakunywa huku tunapiga stori hapo hapo nikaanza kumchokonoa nikamuuliza kama ana mpenzi akaniambia alikuwaga naye wakazinguana nimefurahi sana kusikia vile nikaanza kuomba anipe mm nafasi akazingua kidogo badaye akanikubalia nimefurahi sana tmekunywa bia pale kila mtu akawa tilalila nikamuuliza "vipi ukirudi usiku shangazi yako hamaindi?? Akaniambia "shangazi yangu mzungu hamaindigi vitu vidogo" nikamwambia "basi twende nikakuonyeshe mimi ninapoishi ili upajua hata siku nyingine nikikupigia simu unakuja mwenyewe" akaniambia "usijali mpenzi wangu itakuwa vizuri zaidi" tumetoka pale tumechukua bajaji hadi gheto nimezama na mrembo nikamuambia pale ndipo ninapoishi amefurahi sana kupajua akaniambia "cox mm nimelewa sana ngoja nipumzike kidogo ndo niende nyumbani" nimefurahi sana kusikia vile nikambeba hadi kitandani nikamlaza nikamchojoa nguo zake zote na mimi nikavua zangu nikaingia bafuni kuoga ili nipate nguvu nimpe mrembo dozi ya nguvu hadi mwenyewe akubali Wakati nipo bafuni nikasikia kama kishindo cha watu wanagonga mlango kwa nguvu kustuka kumbe nilikuwa ndotoni naota wanaogonga mlango ni migambo wamekuja kunikamata eti kuna kadenti kana mimba kamenitaja mimi ndo nimekapa nimepanda juu ya dari kujificha huku nimevaa chupi yangu ya chadema tu nipo kifua wazi migambo wamebomoa mlango wameingia mmoja kapanda darini kanitoa wameanza kunipa virungu na mabuti nimepiga kelele wamenibeba juu juu hadi kwa mwenyekiti wa mtaa nimelia sana mimi nilikuwa naota nipo na mrembo kumbe napata msala wa mimba na kupewa kichapo na migambo GONGA LIKE/SHARE/KAMA UMEIPENDA HII STORY
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 07:41:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015