Saimon Frank wrote:wafanyakazi wa Uwanja wa ndege wapewa likizo ya - TopicsExpress



          

Saimon Frank wrote:wafanyakazi wa Uwanja wa ndege wapewa likizo ya siku 2 kila kitu kitafanya na wamarekani ikiwapo kukagua wasafiri.mawaziri watachujwa kumpokea Obama watatajwa na wamarekani wenyewe.Dar es Salaam. Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI.Mkurugenzi w...
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 08:28:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015