== Sifa na kasoro za utawala wake == Utawala wa Haile Selassie - TopicsExpress



          

== Sifa na kasoro za utawala wake == Utawala wa Haile Selassie uliingizwa Ethiopia katika [[Chama cha Mataifa]] ikiwa nchi ya kwanza ya [[Afrika]] kujiunga nacho. Baadaye ulimpa nafasi kubwa katika harakati ya uhuru wa Afrika na makao makuu ya Umoja wa Afrika yalijengwa [[Addis Ababa]], mji mkuu wa Ethiopia. Katika siasa yake ya ndani alishindwa kuendeleza nchi yake yake. Alikosa nguvu na nia ya kumaliza utawala wa kikabaila nchini uliosababisha umaskini mkali kati ya wakulima waliopaswa kuwaachia wakabaila sehemu ya mazao. Hivyo kimataifa Haile Selassie aliheshimiwa sana lakini ndani ya nchi maendeleo yalikwama wanafunzi na wasomi wakikasirikia na wakulima maskini walikufa njaa mara kwa mara.
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 09:59:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015