Siku ya Tarehe 23/2/2013 kwenye Ukumbi wa Kanisa la Victory - TopicsExpress



          

Siku ya Tarehe 23/2/2013 kwenye Ukumbi wa Kanisa la Victory Christian Center Tabernacle(VCCT) kulikuwa na sherehe ya Huduma ya Soul Breakfast Kutimiza Miaka Miwili Tangu ilipoanzishwa Machi,2011. Huduma Hii ni Maalumu kwa Wanafunzi wa Viwango tofauti tofauti vya Elimu Kuanzia Sekondari Mpaka Elimu za juu hapa nchini Kwetu Tanzania. Je Unapenda Kujua Nini Kilichojiri Siku hiyo? fmndeme.blogspot/2013/03/sherehe-ya-soul-breakfast-kutimiza.html
Posted on: Thu, 13 Jun 2013 10:17:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015