Sisi ni waislamu tunaoipenda zaidi dunia kuliko akhera. Kuishi - TopicsExpress



          

Sisi ni waislamu tunaoipenda zaidi dunia kuliko akhera. Kuishi kuliko kufa kwa ajili ya allah ndio sababu. Mfano hai Hebu angalia ulimwengu wa kiarabu ambao ni waislamu na Mitume iliposhuka syria,kuwait,qatar,saudia,yemen,oman zinapigwa na makafiri. Nchi nyengine kati ya hizo zinafadhili wapinzani wa nchi nyengine kwa kuzipa pesa na silaha hali ya kuwa wote ni waislam. Nyengine zinalindwa na makafiri. TUNAPENDA DUNIA KULIKO AKHERA.
Posted on: Sat, 10 Aug 2013 10:28:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015