TAFADHARI LIWE ONYO! 1. Usinitumie friend request kama wewe na - TopicsExpress



          

TAFADHARI LIWE ONYO! 1. Usinitumie friend request kama wewe na mutu wa hapa area. Si tayari sisi ni marafiki hapa Mombasa? Unataka urafiki mwigine wa nini ?? 2. Tena Nikikubari fred request yako,tafathari wacha kuniadikia kwa wor ,ati "thanx..." .Unanishukuru kwani ni nyuba nimekuripia rent?? 3. Mimi sipedi ware watu wanaweka update mureeeeefu! Time ya kusoma ndio hatuna hapa msa! Unaweka update murefu kwani ni agreement ya shamba ??! 4. Ujinga ya kueka picha ya mutoto mugojwa arafu unaniabia ati "ONE RIKE(LIKE) equals One PRAYER " sitaki ! Niriigia FB kushoshiorais. 5. Ware watu wanapeda kuweka update harafu wanamarizia "HIT RIKE' wawache ujiga! Nikiona mutu akiniabia ati "hit rike" sio "rike" nitaHIT, NI WEWE NITA HIT! 6. Nikiweka update RAZIMA muRIKE. Unakataa kuRIKE kwani ukiRIKE utaripishwo??? 7. Hakuna haja ya kureta matusi kwa status yangu. Kuja FONTANELLA, stall number 24, unitukanie hapo nikuonyeshe!!! 8. Naona kuna kajamaa kanajichocha sana kanajiita CABU GAH. Ati C.E.O! C.E.O kitu gani na hata kwa profile pisha yake hakana nguo? C.E.O mgani anavaaga vest kwa ofisi?? 9. Nimeoa. Kwa ivyo SITAKI kukatiwa!. Unanikatia kwani ni miwa?? 10. Kama unataka kurara rara! Unatuabia "Am going to bed" kwani unataka tukuje tukuzimie stima?? 11. Nikicomment kwa status yako. HIO STORY IMEISHIA HAPO. Usianze ati kureta conversation mureeeefu! Ukitaka kuogea eda bunge! 12. Kama unaeda mahari wacha kutuabia ,"Nairobi here I come"! Hatutaki kujua! Mbona ukieda choo hautuabiagi,"Toiret here I come???....mcheeeeeew! #mistari
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 19:33:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015