TANGAZO LA KIFO... Kifo cha tangazwa cha marehemu Manchester - TopicsExpress



          

TANGAZO LA KIFO... Kifo cha tangazwa cha marehemu Manchester United. Marehemu United alifariki kupitia kustaafu kwa babake SAF ambako kulimletea ugonjwa wa moyo ujulikanao kama #MOYESOSIS. Marehemu United alikuwa nduguye Webb, Mark Clurttenburg na wengineo. Tungetaka kushukuru hospitali kuu ya Liverpool ambako alilazwa kwa siku 1 kisha baadaye kumpeleka hospitali kuu ya Man City ambako alipokea matibabu kwa siku 4 shughuli ikiongozwa na Dr Aguero. Shukurani pia ziwaendee Dr. Mulumbu wa hosptali kuu ya Westbrom ambako marehemu alilazwa ICU kwa siku 2 kabla kukutana na kifo chake hospitali kuu ya Doneski hapo jana. Mwili wa marehemu umelazwa katika Old Trash mortuary huku ukingoja post mortem na Dr Sunderland hapo Jumamosi. Mazishi yatafanyika huko huko Old trash mwishoni mwa ligi yakiongozwa na kasisi mkuu wa kanisa la London Mchungaji Chelsea wakisaidiana na pst. Arsenal na Fr. Liverpool. Kwa wale wote waliofiwa tunasema GGMU=>Ghai Ghai Moyes Umetuua
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 12:32:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015