TANZANIA NCHI YANGU NAIPENDA! VIONGOZI TULIOWAPA MADARAKA - TopicsExpress



          

TANZANIA NCHI YANGU NAIPENDA! VIONGOZI TULIOWAPA MADARAKA PUNGUZENI UKALI WA MAISHA,TOENI AJIRA KWA VIJANA, PUNGUZENI MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA ZA UMMA HUKO HAZINA MAANA MMESHINDWA KUWALIPA WALIMU,POLISI NK..MWISHO NYIE MNAOMILIKI MAKAMPUNI NA MIRADI MIKUBWA YA FEDHA NYINGI MMEPATA WAPI KTK NCHI MASIKINI HIVI? SEKTA MUHIMU ZOTE ZINALIWA NA KUMILIKIWA NA MAFISADI HUKU RAIS HAULIZI AU NAYE ANAHUSKA MFANO BANDARI YA DSM INGEWEZA KULIPIA ELIMU BURE KAMA IKISIMAMIWA VIZURI!!! MSITAKE YA MISRI YATOKEE HAPA JAMANI KWA HIVI VITU HASA AJIRA KWA VIJANA NI BOMU LINALOSUBIRI KUGUSWA TU LILIPUKE!
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 03:28:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015