Tabia hizi muache. 1.Kukosa kureply ama kutumia letters kwa - TopicsExpress



          

Tabia hizi muache. 1.Kukosa kureply ama kutumia letters kwa inbox. 2.Kutusi wasee inbox ati juu amekulenga ama amekatia dem wako wa FB. 3.Kuwa online na hakuna kitu unafanya haulike status,haucomment manze tabia ikome. 4.Kutusi admin manze ati juu amekumulika mnyesho ya mosquito wewe. 5.Kuinbox madame mtarimbo waaaaah hizi vitu hufanywa na msee hajawai ona ikuss lakini njaa imemlemea ukidai dame uniinbox. 6.Kukatia dem wa fb alafu unakuta vitu manze hujui magonjwa amebeba lakini kama una manjaa kula tu. 7.Kupaste wall za wasee na utoi na ufala . Ongezeeni zingine. #Smith
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 12:58:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015