Takribani kwa miaka zaidi ya kumi (10), taasisi ya wakenya - TopicsExpress



          

Takribani kwa miaka zaidi ya kumi (10), taasisi ya wakenya inayofanya tafiti hapa nchini Tanzania IPSOS-SYNOVATE, imekuwa ikizidi kulalamikiwa kwa report zao za utafiti ambazo hazina ukweli na hali halisi ya Tanzania, sasa sisi kama raia wenye mapenzi na taifa letu tunachukua hatua gani kuhakikisha hii taasisi inafungiwa kufanya kazi nchini maana report zao ni useless kwetu..., Suluhisho la awali ni kukataa kuhojiwa pindi wanapopita kutuuliza maswali 10% kati ya maswali 100% wanayostahili kuuliza kwa kila dodoso la kila muhojiwa.
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 19:02:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015