#Till_dawn Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani nataka - TopicsExpress



          

#Till_dawn Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani nataka kesho twende ukamuone mama x 2 {Verse 1 } =I > Kwanza kabisa ntanyonga Tai T” shirt na Jeans ntatupa kidogo.. Unite Nasibu usiniite Dai Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo … Naukifika uagize Chai Savanna Takila uzipe kisogo… Kuhusu mavazi kimini haifai Tupia pendeza ila za Hekima Logo… =I > Even though wanaponda eti we ni kicheche Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x 2 Chorous} =I > Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani Nataka kesho twende ukamuone mama x 2 {Verse 2 } Usilete swaga za Nainai Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo .. Eti shoping twende Tai wakati Dadaangu anaduka kigogo.. Ukikuta Nguna usikatae we zuga unapenda hata kama wa Muhogo.. Kuhusu kabila mbona Sadai Mama angu hana noma hata kama Mgogo =I > Even though wanaponda eti we ni kicheche Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x 2 {Chorous} =I > Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani Nataka kesho twende ukamuone mama x 2 Bridge Mama yangu mama … Mama Naseeb mama … Mama Diamond mama … Mama yangu nyumbani … Mama Chali mama … Mama Sepetu mama … Mama Kidoti mama … Kwa mama Diamond nyumbani … {Chorous} =I > Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani Nataka kesho twende ukamuone mama x 2
Posted on: Sat, 17 Aug 2013 20:44:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015