Tumechoshwa na mazingira yasiyo safi! Harufu mbaya imeenea kote, - TopicsExpress



          

Tumechoshwa na mazingira yasiyo safi! Harufu mbaya imeenea kote, maradhi usiambiwe, watoto wamohatarini na hakuna linalotendeka kushughulikia suala hili... Tunawaalika nyote kesho katika ukumbi wa V. O. K ambapo kutakuwa na mkutano mfupi kuhusu mpangilio wa maadamano kisha tuelekee katika maandamano ya amani katika Barabara kuu ya Mombasa-Malindi hapo VOK stage mnamo saa tatu unusu.. Ikiwa hautaungana nasi katika kutafuta suluhisho basi unchanging katika maadhara.. UMOJA NI NGUVU
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 20:02:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015