Tumsifu Yesu Kristu Ndugu na dada zangu……Karibu. Hii leo - TopicsExpress



          

Tumsifu Yesu Kristu Ndugu na dada zangu……Karibu. Hii leo ukiangalia Jumuia ndogo ndogo parokiani mwako utapata kwamba asilimia kubwa ya wanao hudhuria ni wazazi wetu. Vijana wako wapi? Ni sababu zipi zawazuia vijana kudhuria na suluhisho ni lipi….Maoni yako ni yapi kuhusu swala hili? Haya basi kutana nami MONICAH WANGUI itimiapo saa mbili hadi saa sita kamili katika kipindi cha BUSTANI YA WAUMINI.
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 16:58:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015