Ukiwa na mpenzi mzuri iwe boyfriend au girlfriend mke au mume ujue - TopicsExpress



          

Ukiwa na mpenzi mzuri iwe boyfriend au girlfriend mke au mume ujue kuna wengine pia wanamuona! So hauitaji kupanic wala kugombana ukikuta mtu anamsemesha na vingine,hapo mkubaliane na matokeo coz hakupenda kuzaliwa mzuri imetokea tu .. Ukitaka kuishi na boyfriend au girlfriend mzuri we FUMBA MACHO. .#MUDA WOWOTE KUTOKA SASA track yangu MPYA inayoitwa FUMBA MACHO itakua kwa hewa... #bless ..#kamikazekazini #singidaboy #wakacha
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 09:12:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015