Vipi habari za leo, natumai kila mmoja wetu hajambo.....hii leo - TopicsExpress



          

Vipi habari za leo, natumai kila mmoja wetu hajambo.....hii leo tumeamkia ushidni wa chama tawala nchini Rwanda katika uchaguzi wa wabunge ambao ulifanyika Jumatatu..........baadhi wanasema kuwa, ndio, Rwanda ni nchi thabiti lakini je mazingira ya kisiasa unadhani yanaweza kuboreka vipi hususan kwa vyama vya upinzani ambavyo havina usemi wanavyostahiki katika nchi yenye kufuata misingi ya kidemokrasia? au sio lazima pawepo upinzani bora mambo yanakwenda swhari? Mbali na hayo unaweza pia kutupsaha kuhusu yaliyojiri huko uliko ukiwa Kigali, Bujumbura, Nairobi, Mombasa, Tanzania, Uganda na hata katika nchi ya kigeni...uwanja ni wako.........
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 06:58:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015