WANASIASA WA TANZANIA FUMBUENI MACHO, HII NI DUNIA AMBAYO LEO TUPO - TopicsExpress



          

WANASIASA WA TANZANIA FUMBUENI MACHO, HII NI DUNIA AMBAYO LEO TUPO NA KESHO HAIJULIKANI/HATUTAKUWEPO VITA DHIDI YA VYAMA HAITATUPELEKA TUNAPOFIKIRI KUFIKA ONA NCHI JIRANI WANAZIDI KUJENGA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI BAINA YAO. HAKUNA TIJA KUJENGA UADUI BAINA YA VYAMA VINAVYODAI KUTETEA MASLAHI YA MTANZANIA, YAANI MNAGOMBANIA TOFALI WAKATI NYUMBA MNAYOIJENGA NI MOJA? MAADUI WANAOTAMBULIKA NI UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI. KAMA KWELI KUNA NIA YA DHATI YA KUIJENGA NCHI YETU BASI EPUKENI MIGOGORO ISIYO NA MASLAHI KWA TAIFA. chukua AIU utupe usijenge BIFU kama Mu7...
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 21:42:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015