WATANZANI UZENI JUIC NA SI KUWEKEZA KWENYE GESI... Bwana Reginard - TopicsExpress



          

WATANZANI UZENI JUIC NA SI KUWEKEZA KWENYE GESI... Bwana Reginard Mengi ameonesha kusikitishwa na kauli ya Waziri wa madini Prof Sospeter Muhongo kwa kusema kuwa Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi na badala yake wafanye biashara ya kuuza juice. Akihojiwa leo NA SAUTI YA AMERIKA, Mengi amesema kuwa kwanza serikali kugawa gesi kwa wageni bila hata kuwepo kwa sera ya gesi ni uporaji mkubwa wa mali za Watanzania bila ridhaa yao. Amemwambia hayo maneno ya kuuza juice aende akawaambie wanafunzi wake na asidhani kila Mtanzania hawezi kuwekeza kwenye gesi. Amemshauri arudi chuo akafundishe na maswala ya gesi awaachie Watanzani
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 08:35:57 +0000

Trending Topics



ext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> We are pleased to announce that Extreme Performance Horses will up
मित्रों आप लोग पूछते थे

Recently Viewed Topics




© 2015