WOLOLO!!!!wamekam midaz,sasa utaanza kuona **ile ufala ya - TopicsExpress



          

WOLOLO!!!!wamekam midaz,sasa utaanza kuona **ile ufala ya kureplace X kwa S itarudi ati xaxa xema xembe etc nikama walisomea wakiwa juu ya mabati. **madem inbox za vybz za ujinga are officially back ati babie i was reading the bible in the book of numbers na nimenotice sina yako. **machali meso za plz nisambazie ziko njiani priss anzeni kujipanga nikama. **Post irrelevant zitarudi ati nkt all this inboxes from guys ama thika here i come ama f*ck this assignment sucks zitatuteka nyara for a while. **Cyber kujaa watu haiko mbali nikama kazi nikujazana huko. **Mtaa kutotulia juu ya makelele ya mabash. **Na sasa ile killer tuswag twa utoto tutaanza kuonekana. ::::>So pliz beware!!!its just for a while #derz
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 12:47:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015