Wamijikenda: ni watu wazuri sana. Hatuna ukabila tuna umoja kwa - TopicsExpress



          

Wamijikenda: ni watu wazuri sana. Hatuna ukabila tuna umoja kwa kila kitu. Shida yetu ni kuwa twajifanya wapole na wenye roho nzuri sana. Roho yetu yote nzuri ya kupenda kila mtu na bado hao tuwapendao watukalia. Ukweli usemwe. Tukianza kutukanana sababu eti tumeingililia kabila ambayo si ya mijikenda mwaanza kusema ni ukabila na tumeongea ukweli ni ujinga.. Yaani wakijipendelea hao si ukabila tukijipendelea ni ukabila. Tukitaka tuendelee. 1. Uzia shamba mmjikenda mwenzako. 2. Promote biashara ya mmijikenda mwenzako usiseme ukinunua kwake atafaidika yeye. 3. Kama una kazi first priority peana kwa mmjikenda mwenzako. Hebu angalieni biashara zote si wamependeleana wenyewe. Mpende msipende, mnitusi msinitusi nimesema muache ujinga
Posted on: Wed, 21 Aug 2013 16:51:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015