Wanaume ni walewale...Uongo wao ni Uleule..Style zao ni - TopicsExpress



          

Wanaume ni walewale...Uongo wao ni Uleule..Style zao ni zilezile...Wanawake ni walewale...Wanaamini uongo uleule...Wanaingizwa kingi kwa mbinu zilezile...Na wanalia machozi kwa kesi zilezile...Zilizosababishwa na Wanaume Walewale waliotumia mbinu zilezile...za mwaka 1970...zinafanya kazi mpaka 2013...Hata Teknolojia sio hivyo..teknolojia ya Komputa iliyotumika 1970 huwezi tumia leo ukauza,lakini Wanawake mnalizwa na Uongo waliotumia wajomba zangu mwaka 1970 leo...Come On Girls mnanitia aibu! Basi mdanganywe na Software mpya tuelewe...Danganywa na Galaxy S4 technology na sio Siemens C25 technology basi... Mwanaume mkweli mbona utamjua tu ramani zake...Na Mwanaume Chupi-oriented mbona anasomeka vizuri tu???Motive za Real Man na Fake Man haziwezi kuwa sawa kama Engine ya Beam 2000 Altezza na Starlet,haziingiliani... Akikwambia anakupenda set your targets for him to get you,thamani yako iko kabla hajakupata,akishakupata huna uwezo tena wa kuweka Targets,ushafeli,yeye ndo ataku-rule...Weka vigezo ambavyo ili akupate lazima atimize hivyo..Dont be Cheap,ukiambiwa tu I love you,can we go dinner tonight and Movie unachekacheka kama kibogoyo aliyeahidiwa meno ukubwani,unapewa lifti kwenda kazini,na hela za matumizi na Shopping tayari kamba za Bikini zinalegea...Halafu uje useme All Men are dogs..offcourse we are dogs ila tunatofautiana sauti ya kubweka...I am loud and clear...Set your Targets dont be Cheap lasivyo jiandae kujiunga kwenye kikundi cha Wanyakyusa wanaolia msibani kwa malipo..A real man will surpass targets,Chupi-oriented Man will fall short of your targets.Fanani Nimetumia lugha sanifu kabisa ya kiswahili ili Hadhira mnielewe......... [Gonga "LIKE" kama umeipenda ? Waweza "SHARE" pia kufikisha ujumbe ,Kama kawaida yangu, kama umenuna na yamekuchoma haya maneno, we niblock tu kimya kimya, ila me nasema tu!!!
Posted on: Tue, 09 Jul 2013 14:32:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015