Watu wangu wanguvu kunakijana anaomba ushauri kutokana na taratibu - TopicsExpress



          

Watu wangu wanguvu kunakijana anaomba ushauri kutokana na taratibu zetu hatuwezi taja jina lake. Wadau wenzangu nawaomben ushauri.mm nina girlfriend wangu ambae tunapendana xana na tuna lengo lakufunga ndoa lkn wazazi wng hawamuhitaji hata kuwa housegirl..nikiwaulza wazaz sababu wanasema nimalaya kwakigezo gan eti umaarufu wake.... na mm bint nikimwambia tuachane ananambia nimrejeshee uzima (UBIKRA) wake SASA NAKUOMBEN USHAURI WADAU WENZANGU
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 09:59:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015