Watu wote mmekuja humu Quality Centre Aisee!! Yaan hata kama - TopicsExpress



          

Watu wote mmekuja humu Quality Centre Aisee!! Yaan hata kama familia ina watu kumi, basi wote wanakuja Quality Centre! Jaman wengine nenden Feri, uwanja wa ndege,beach na kariakoo pia vipo vya kushangaa,Diih!! Wa Temeke mbaki huko huko kwa7bu mnayo Dar live yenu! Wa Kinondon,Mwenge,Mbez,Tegeta,Bunju na Boko mbaki huko huko coz mnayo Mliman City yenu!! Na wa ilala tubaki na Quality Centre yetu! *#TrueFact#*
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 18:35:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015