Wazazi humu nchini Kupitia kwa Chama cha Kitaifa cha Wazazi - TopicsExpress



          

Wazazi humu nchini Kupitia kwa Chama cha Kitaifa cha Wazazi (KNAP), wametishia kuenda mahakamani iwapo walimu wataendelea na mgomo ambao umeingia siku ya tatu hii leo,huku leo bungeni kukiwa na kizazaa kutokana na mswada uliwasilishwa na mbunge wa gem jakoyo midiwo kutaka shilingi bilioni 46 zilizotengwa kunua laptops zilipwe walimu,mswada uliopingwa vikali na baadhi ya wabunge wakiongozwa na kiongozi wa walio wengi bungeni adan duale?je nani wa kulaumiwa na je? wazazi hasa watachukulia nani hatua hiyo?UNGANA NAMI KASSIM MBUI KATIKA ROSHANI TUKIZUNGUMZIA HATUA HII MIONGONI MWA MASWALA MENGINE MUHIMU.number ya simu..0715900995/0739990995/sms 2995
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 16:24:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015