how to overcome challenges on global marginalization and poverty - TopicsExpress



          

how to overcome challenges on global marginalization and poverty in Tanzania ???????????? we can overcome challenges on global marginalization and poverty not because of plenty of resources we have but having education/knowledge on proper way to utilize the available resources MIMI SAMWEL NIKIWA RAISI WA TANZANIA HATA KWA MIAKA MIWILI NITAFANYA YAFUATAYO;- 1.nitaunganisha mikoa mitatu ama minne na kuifanya jimbo chini ya gavana ,hapa nitakuwa nimepiga chini wakuu wa mikoa 4 hivyo kuokoa gharama ya mashangingi ambamo shangingi moja ni milion 300 sawa na vyumba 30 vya madarasa vya kisasa. 2.nitafuta nafasi za wakuu wa wilaya na kuimarisha wakurugenzi na kazi za kisheria zibbaki kwa das,maana toka nizaliwe hadi leo sijawahi kufahamu nini haswa kazi ya DC aidha kama ni kutatua migogoro ya ardhi basi baraza la usuluhishi litafanya hiyo kazi,hii itamfanya OCD afanye kazi kwa utashi na siyo kwa presha ya DC akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. 3.nitavunja mikataba yote feki bila kuangalia gharama za economic sunction na hapa nitatafuta mutual friend wa uchumi aidha mrusi ambaye nitafunga naye mikataba ya kijeshi,kiuchumi lakini mutually. 4.nitapunguza baraza la mawaziri na kubakia na mawaziri 10 tu,ujerumani ni nchi zaidi ya 10 ila ina mawaziri 14 tu hivyo tutaendehsa serikali kwa gharama ndogo sana. 5. kwa akili yeyote nitakaa na wachumi kuhakikisha 60% ya bajeti inakwenda kwenye shughuli za maendeleo na 40% inakuwa matumizi ya anasa tofauti na sasa ambapo 76% ni anasa. 6.mimi na mafisadi ni ama zangu ama zao na hapa mtanisamehe itabidi wafe watu,hata ikibidi kuwapiga mafisadi risasi hadharani kama ilivyofanywa kwa waziri mkuu wa malaysia miaka ya 70 ili kujenga hofu kwa wezi wa mali zetu. 7.nitaifanya siasa ya kisayansi ikue na gharama ya siasa za maji taka ni kupigwa risasi ama kufungwa jela maisha. mabishano yasiyo na maana kama ya udini,ukabila,ukanda yatakoma. ongezeeni mengine........
Posted on: Wed, 04 Jun 2014 07:44:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015