jamani jamani watanzania wamepigwa sana huko Malawi wanatakiwa - TopicsExpress



          

jamani jamani watanzania wamepigwa sana huko Malawi wanatakiwa wahame Malawi wameporwa bidhaa zao kupigwa kisa kwanini waTZ wamefukuza ndugu zao huko Dar yaani unyama waliotendewa ndugu zetu ni mkubwa wamepigwa na kujeruhiwa sana ninaomba maafisa uhamiaji zuieni hawa wamalawi kuingia TZ,sisi tubaki kwetu wao wabaki kwao,yaani polisi na wananchi wa Malawi walivyowatendea hawa ndugu ni zaidi ya Wanyarwanda walivyofanyiana.
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 16:36:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015