juma_ngoma hii niliipania kweliii mosha_na leo kuna waremboo - TopicsExpress



          

juma_ngoma hii niliipania kweliii mosha_na leo kuna waremboo wakumwagaa weupe weusii wembamba wanene..we unachukua wa ngapii?? juma_mi nimemfwata sikitu wangu tuu mosha_yan ktk ngoma hii umemfwata sikitu wako tuu?sio mzm wew wakupimaa juma_kwani wew unachukua wa ngapii? mosha_mi sina idadii wotee abiria wangu.sahiv na wawil wa kuanzia juma_unatumia kinga lakn???? mosha_weeeee na chale kama mia mbili unusu hv juma_sijamaanisha hivyo namaanisha condom?? mosha_yan wew kadem kamojaa unatumia condom?? sio mzm ww wakuchoraaa ww #team_playsafe #team_mlinde_umpendaee_nawewe_pia_jilindee_ukimwii_sio_mafua
Posted on: Sun, 11 Aug 2013 07:00:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015