siku moja bibi na babu walikua wanaangalia kipindi cha - TopicsExpress



          

siku moja bibi na babu walikua wanaangalia kipindi cha upako kwenye tv , sasa mchungaji akasema kwa wale wanao tazama kipindi hiki kupitia televisheni na wangependa kupata muujiza na uponyaji kupitia bwana wanaombwa kuweka mkono mmoja na kushika TV na mwingine sehemu ya mwili ambayo wangependa ipate uponyaji . Bibi aliamka taratibu na kushika TV na mkono mmoja mwingine alishika bega lake lililokua linamuuma. Babu nae hakua nyuma alisimama na kwenda kushika TV na mkono wa kushoto huku wakulia akishika eneo la nguo lenye sehemu zake za siri yani M***o ..! Bibi alifoka na kusema " nadhani wewe ni mgumu sana kuelewa na hujamuelewa mchungaji , amesema yeye anaombea wagonjwa wapone na sio kuamsha vilivyo KUFA alaaa ..!!"
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 09:06:38 +0000

Trending Topics



Nacional de
“Bota Sot” është sëmurë nga “pacientë”si Bajrush

Recently Viewed Topics




© 2015