> sitaki uni tagg picha yoyote ile, alafu sjui hua hamchoki, hua - TopicsExpress



          

> sitaki uni tagg picha yoyote ile, alafu sjui hua hamchoki, hua si LIKE wala ku COMMT ila mtu anatag tuuuuuu!! cjui anaona raha > Ukija Inbox kama huna inshu ni bora uache unaweza ona kama nina dharau kutojibu au kukujibu ndivyo sivyo, mtu anakuuliza unafanya kazi au mwanafunzi ili iweje, ukisema unafanya kazi anakuuliza wapi? kazi gani/ ili iweje,,,,ukisema mwanafunz anauliza unaxoma wapi,,,,O level, A level, college, universty ili iweje xaxa anaomba contact ili iweje,,,omba kwanza mtaani kwenu ukimaliza nitakupa na mm
Posted on: Wed, 10 Jul 2013 13:55:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015